Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde Msika, akikabidhi mifuko 100 ya saruji kwa Afisa Mipango wa Wilaya ya Kibaha Vijijini, Bw. Wambura Yamo kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa madarasa ya Shule za Msingi za wilaya hiyo, hivi karibuni.

Afisa Mipango wa Wilaya ya Kibaha Vijijini, Bw.Wambura Yamo, akimshukuru Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ally Masaniga baada ya kukabidhiwa mifuko 100 ya saruji na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Bi. Sarah Kibonde Msika (kulia), kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa madarasa ya Shule za Msingi za wilaya hiyo.
Sehemu ya mifuko 100 ya saruji iliyotolewa msaada na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa madarasa ya Shule za Msingi za wilaya hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...