THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Tamasha la michezo la Vodacom Kichuo Zaidi

 Meneja  wa Vodacom Tanzania Kanda ya Morogoro, Michael Kasubi  (katikakati )akiwa kwenye picha ya  pamoja na wachezaji wa mpira wa miguu  walioshiriki katika  bonanza la Kichuo Zaidi lililoandaliwa na kampuni hiyo katika chuo kikuu cha Mzumbe.
 Wanafunzi wa chuo chuo kikuu cha Mzumbe wakicheza mpira wa volleyball katika bonanza la Kichuo Zaidi lililoandaliwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika viwanja vya chuo hicho mwishoni mwa wiki.

 Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo kikuu cha Mzumbe na  wa mwaka wa pili na watatu wakishiriki katika mchezo wa kuvuta wa kamba wakati wa Tamasha la Kichuo Zaidi lili hitimisho la mauzo ya Vodacom lililoandaliwa chuoni hapo.
.