THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

TAMASHA LA VODACOM KICHUO ZAIDI KUFANYIKA WIKIENDI HII

 Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu(kushoto)akimkabidhi moja ya jezi ya kuchezea mpira wa mikono kwa niaba ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya jijini Dar es Salaam,Waziri wa michezo wa chuo kikuu cha Dar es Salaam,Ally Msazi(kulia)kwa ajili ya tamasha la Vodacom kichuo zaidi litakalofanyika chuoni hapo mwishoni mwa wiki hii.Anayeshuhudia katikati ni Mkuu wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Samson Mwongela.
 Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu(kushoto)na Mkuu wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Samson Mwongela(katikati)wakifurahia jambo wakati wa hafla fupi ya kukabidhi baadhi ya bidhaa za michezo kwa Waziri wa michezo wa chuo kikuu cha Dar es Salaam,Ally Msazi(kulia)kwa niaba ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya tamasha la Vodacom kichuo zaidi litakalofanyika chuoni hapo mwishoni mwa wiki hii.
 Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu(kushoto)na Mkuu wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Samson Mwongela(katikati)wakimkabidhi mpira wa mchezo wa mikono(Basketball) Waziri wa michezo wa chuo kikuu cha Dar es Salaam,Ally Msazi, kwa niaba ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya tamasha la Vodacom kichuo zaidi litakalofanyika chuoni hapo mwishoni mwa wiki hii.
Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu(katikati)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi baadhi ya bidhaa za michezo kwa Waziri wa michezo wa chuo kikuu cha Dar es Salaam,Ally Msazi(kulia)kwa niaba ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya tamasha la Vodacom kichuo zaidi litakalofanyika chuoni hapo mwishoni mwa wiki hii,kushoto ni Mkuu wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Samson Mwongela.