MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA, WAZIRI MKUU MSTAAFU,  ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MZAZI, MZEE XAVERY MIZENGO PINDA (90) KILICHOTOKEA LEO TAREHE 27 NOVEMBA, 2016 SAA 9:30 ALASIRI KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA. 
HABARI ZIWAFIKIE:
1.    FAMILIA YA MAREHEMU WALIOKO KIJIJI CHA KIBAONI, WILAYA YA MLELE MKOANI KATAVI NA WALE WALIOKO NJE YA MKOA HUO.
2.    NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI MBALIMBALI POPOTE PALE WALIPO.
3.    VIONGOZI MBALIMBALI WA SERIKALI, CHAMA TAWALA NA VYAMA VINGINE VYA SIASA.
TARATIBU ZA MAZISHI ZINAFANYIKA NYUMBANI KWAKE, ZUZU MKOANI DODOMA.
 TAARIFA ZAIDI ZITATOLEWA BAADAYE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mkuu Mzee Mizengo Pole sana kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na baba mzazi Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi,
    Amin
    wadau
    Ngoma Africa band
    Ujerumani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...