THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

TANZIA: SPIKA MSTAAFU WA BUNGE MH. SAMUEL SITTA AFARIKI DUNIA, RAIS DKT MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Taarifa iliyoigikia Globu ya Jamii asubuhi hii, inaeleza kwamba Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko nchini Ujerumani alikokuwa katika matibabu... taarifa rasmi itawajia baadae kidogo. Globu ya Jamii inatoa Pole kwa ndugu , jamaa na marafiki wote na Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi" 


Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  RIP MZEE WA SPEED NA VIWANGO TUTAKUKUMBUKA DAIMA

 2. Anonymous Anasema:

  RIP ni pigo kubwa pole sana mama Magreth sita na familia nzima. Faraja ya Mungu iwafunike.

 3. kwezinho henry Anasema:

  R.I.P Mh Samwel sita mbele yako nyuma yetu.

 4. Anonymous Anasema:

  Kupoteza binadamu ni khasara na ni lazima tusikitike na kuomboleza RIP Mzee Samwel Sitta.