Taarifa iliyoigikia Globu ya Jamii asubuhi hii, inaeleza kwamba Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko nchini Ujerumani alikokuwa katika matibabu... taarifa rasmi itawajia baadae kidogo. Globu ya Jamii inatoa Pole kwa ndugu , jamaa na marafiki wote na Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi" 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. RIP MZEE WA SPEED NA VIWANGO TUTAKUKUMBUKA DAIMA

    ReplyDelete
  2. RIP ni pigo kubwa pole sana mama Magreth sita na familia nzima. Faraja ya Mungu iwafunike.

    ReplyDelete
  3. R.I.P Mh Samwel sita mbele yako nyuma yetu.

    ReplyDelete
  4. Kupoteza binadamu ni khasara na ni lazima tusikitike na kuomboleza RIP Mzee Samwel Sitta.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...