Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

WITO umetolewa kwa makundi ya Vicoba ,Saccos na Tasisi za kifedha kujiunga katika mfumo wa Smart kadi unaondeshwa na tasisi y Data Vision International hili kuepuka madhara yatakayotokea wakati wa kutembea na fedha nyingi kwa wakati mmoja.

Wito huo umetolewa na Meneja mahusinao wa kampuni hiyo ,Teddy Qirtu alipokuwa akiongea na waandish wa habari wakati wa mkutano na maonyesho ya tasisi za kifedha katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

“Data vision International ni moa makampuni yanayotuia mfumo wa kisasa wa kuhifadhi fedha katika smart kadi ambayo utaweza kufanya manunuzi sehemu yoyote hilena kutoa pesa popote pale walipo mabenki washirika kwa kutumia kadi ya Pap, kdi mbayo ina uwezo wa kufanya vitu vingi kwa wakati  mmoja”amesema Qirtu. Amemaliza kwa kusema kuwa ufike wakati wa vikundi vya watu kuanzia 30 kujiingiza katika mfumo huu ambao utasidia mambo mengi katika Maisha yao ya kila siku.

wadau mbalimbali wakiwa katika banda la data Vision International . Picha zote na Emmanuele Massaka wa Globu ya Jamii
Meneja mahusiano wa Data Vision International,Teddy Qirtu ,akizungumza na waandishi wa habari katiika maonesho hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...