Wadau mbalimbali wa shuguli za usafiri wa anga nchini, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya usfiri wa anga Tanzania, Bw. Hamza Johari,(wa nne kutoka kulia) wakimsikilza kwa makini mhandisi wa mitambo ya kuongozea ndege ya DVOR+DME , Kelvin Mwakalobo wakati walipofanya ziara kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza ndege (AIR TRAFFIC SAFETY ELECTRONICS PERSONNEL'S DAY - ATSEP- )
Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari ( kushoto) pamoja na wadau mbalimbali wa usafiri a anga nchini wakimsikiliza mhandisi wa mtambo wa kuongozea ndege wa Rada Marco Omari ,wakati walipofanya ziara kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza ndege.
ya uhandisi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari (wapili kushoto) pamoja na wadau mbalimbali wa usafiri a anga nchini wakimsikiliza mhandisi wa mitambo ya kuongea ndege ili iweze kutua kwa usalama( AWOS) James Mjema ,wakati walipofanya ziara kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza ndege.
Wadau wa shuguli za usafiri wa anga nchini katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza ndege.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...