Balozi wa Uturuki nchini, Bi Yasemin Eralp, akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Bi Yasemin Eralp (katikati), alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akiongea na ujumbe kutoka Ubelgiji kuhusu fursa za uwekezaji katika sekta ya miundombinu leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Msaidizi wa Tathmini na Ufuatiliaji kutoka Sekta ya Uchukuzi, Aunyisa Meena, akifafanua jambo kwa Ujumbe wa Ubelgiji kuhusu fursa za uwekezaji katika sekta ya miundombinu.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akizungumza na Ujumbe wa Ubelgiji na watendaji wa Wizara yake kuhusu fursa za uwekezaji katika sekta ya miundombinu.Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...