Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (wa tatu kushoto), pamoja na
viongozi wengine wakikata keki kuashiria mahusiano mema baina ya nchi
hizo mbili katika sherehe za miaka 46 ya Usultani wa Oman,
iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akimpongeza mshindi wa tiketi ya
kwenda Oman aliyoshinda katika sherehe za miaka 46 ya Usultani wa Oman,
iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza na wageni waalikwa
waliohudhuria sherehe za miaka 46 ya Usultani wa Oman, iliyoadhimishwa
jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akisalimiana na Naibu Balozi wa
Ufalme wa Oman, Mohammed Al Rawahi, kwenye sherehe za miaka 46 ya
Usultani wa Oman, iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiteta jambo na Naibu Balozi wa
Ufalme wa Oman Mohammed Al Rawahi kwenye sherehe za miaka 46 ya Usultani
wa Oman, ilyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza na viongozi na wadau
mbalimbali waliohudhuria kwenye sherehe za miaka 46 ya Usultani wa Oman,
iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...