Katika uzinduzi huo pia Waziri Ummy alizindua kadi mpya ya chanjo ya Manjano(yellow Fever),pichani akionesha utofauti wa kadi za zamani na kadi mpya,ambapo amewasihi wananchi kuacha kuwatumia vishoka kupata kadi hizo bali kwenda kwenye vituo maalumu vinavyojulikana vinatoa chanjo hiyo,kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Otilia Gowele
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akionesha mfano wa kadi hiyo ambayo ina kurasa nyingi tofauti na kadi ya zamani(picha na Wizara ya Afya)
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akionesha moja ya fomu ya usajili wa dawa za tiba asili kundi la pili ,uzinduzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa wizara,kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili/Mbada Dkt. Edmund Kayombo
Waziri Ummy Mwalimu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa fomu hizo ambazo litatumiwa na waganga wa tiba asili/mbadala watakaogundua dawa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...