THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO November 8, 2016.SIMU.tv: Ni lini serikali itaanza ujenzi wa barabra ya kilimita 10 ndani ya mji wa Nzega? Swali kutoka kwa mbunge wa Nzega Mhe. Bashe. https://youtu.be/W_4h6Lwn_3c

SIMU.tv: Kwanini serikali ya  jamhuri China isichangie gharama za matibabu kwa wananchi wanaopata ajali za bodaboda? Haya majibu ya serikali; https://youtu.be/2IQQaxie1hk

SIMU.tv: Je,serikali imeandaa utaratibu gani wa kukagua watoto wa umri chini ya miaka 5 ili kufahamu kama wamekeketwa? Haya hapa majibu ya serikali. https://youtu.be/5Aq-auXFpeU

SIMU.tv: Serikali yatolea ufafanuzi kuhusu wachimbaji wadogo wa dhahabu jimbo la Mbongwe kupewa maeneo ya kuchimba. https://youtu.be/aMXU-GjpOqU

SIMU.tv: Je,serikali imefikia hatua gani kuhusu kuwatafutia soko wakulima wa mazao mbalimbali nchini? Hapa waziri Charles Mwijage anafafanua. https://youtu.be/FhCQ-QU4Fns

SIMU.tv: Je, serikali ina mpango gani wa kuhalalisha viwanda vya kutengeneza kinywaji cha Gongo ili kuchochea uchumi wa kati? Haya hapa majibu. https://youtu.be/TzosIy7YMrI

SIMU.tv: Je, ni nini umuhimu wa kuwa na mabaraza ya ardhi nchini? Hapa naibu waziri wizara ya ardhi Mhe. Mabula anatoa ufafanuzi; https://youtu.be/gNPkuCYpXGg