Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Benoit Janin (kushoto), akisalimiana na mkazi wa Bugururuni, Awadh Selemani, Dar es Salaam jana, katika moja ya kampeni za masoko katika kufikisha huduma na bidhaa zao karibu kwa wateja. Zantel imemaliza hivi karibuni ukarabati mkubwa wa mtandao wake  wa 3G na 4G wenye lengo la kuboresha ubora wa huduma za intaneti na sauti hivyo kupatikana kwa zaidi za asimilia 85 ya Tanzania.
Mkuu wa Mauzo wa Zantel, Herbert Louis (kushoto) na baadhi ya wafanyakazi wa timu ya mauzo, wakizungumza na baadhi ya wakazi wa Bugururu, Dar es Salaam, katika moja ya kampeni za masoko kufikisha huduma na bidhaa zao karibu kwa wateja. Zantel imemaliza hivi karibuni ukarabati mkubwa wa mtandao wake wa 3G na 4G wenye lengo la kuboresha  ubora wa huduma za intaneti na sauti hivyo kupatikana zaidi za asimilia 85 ya Tanzania.
Mkuu wa Masoko wa Zantel, Gasper Mbowa (katikati) na Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Zadok Prescott (kulia), wakiwafahamisha wafanyabiashara wa soko la Kariakoo, Dar es Salaam, Yassin Hassani (kushoto) na Abdallah Issa, baadhi ya huduma za kampuni hiyo katika moja ya kampeni za masoko kufikisha huduma zao karibu na wateja. Zantel imemaliza hivi karibuni ukarabati mkubwa wa mtandao wake wa 3G na 4G wenye lengo la kuboresha ubora wa huduma za intaneti na sauti hivyo kupatikana zaidi za asimilia 85 ya Tanzania. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...