Mwanasheria
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Fausta Mahenge
akitoa Elimu ya Mpiga Kura kwa wananchi wa Shule ya Sekondari ya Kidinda ya
mjini Bariadi mkoani Simiyu.
Afisa Uchaguzi wa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Stephen Elisante akiwaonesha wananchi wa Shule
ya Sekondari ya Kidinda iliyopo mjini Bariadi mkoani Simuyu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...