Baadhi ya wafanyabiashara wa kuuza mboga za majani wakikatiza mitaa kuwahi wateja mjini Mbeya kama ilivyo ada. Mkoa wa Mbeya wenye udongo wenye rutuba, mvua za kutosha na hali ya hewa mujarab ua sifa ya kuwa na uwezo wa kuotesha karibu kila aina ya mmea. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...