Dereva wa Bodaboda  akiwa pamoja  na abiria wake katika mtindo maarufu uitwao Mshikaki bila kujali usalama wao,wakiendelea na safari yao kama walivyonaswa na Cameara ya Globu ya Jamii katika kijiji cha Kibuyuni  Kata ya Panzuo mkoani Pwani. Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii
Dereva wa Bodaboda akiwa pamoja  na abiria wake huku wakiwa wamebeba magunia ya Mkaa wakikatiza katika kijiji cha Kibuyuni  Kata ya Panzuo mkoani Pwani 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...