Mkuu
wa mkoa wa Simiyu Mh Anthony Mtaka (wa pili kulia) akiwa pamoja na
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Profesa Elifas
Bisanda (katikati mwenye tai), Katibu Tawala wilaya ya Ilala (DAS)
Edward Mpogolo (wa pili kulia) Bw Hume wa OUT na Derek Murusuri
(kushoto) baada ya majadiliano ya muda mfupi kuhusu mchango wa OUT
kwenye maendeleo ya elimu nchini Tanzania jijini Dar leo.
Home
HABARI
WADAU WAKUTANA KUJADILIANA MCHANGO WA CHUO KIKUU HURIA (OUT) KATIKA NYANJA YA ELIMU HAPA NCHINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...