Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Airport iliyopo jijini mbeya wakiwa wamekamatia soda mkononi kutoka katika kampuni ya Coca-Cola ikiwa ni muendelezo wa  kuamsha shangwe na Coca-cola na ujio mpya wa mkanda mwekundu katika chupa za soda ya Coca-Cola.

Mmoja kati ya wanafunzi wa shule hiyo ya Airport iliyopo Jijini Mbeya akijaribu kushiriki shindano la kupiga danadana kwa kutumia Mpira na hatimae kujinyakulia Mpira huo kutoka Coca-Cola.

Mwanafunzi wa shule ya Air Port Sekondari akionesha moja ya zawadi aliyoipokea kutoka Coca-Cola kwanza walipotembelewa shuleni hapo.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Airport wakiwa katika uwanja wa shule yao uliopo katika eneo la jakalanda jijini mbeya kuuonja msisimko na Coca-Cola yenye muonekano wa kuvutia uliozinduliwa hivi karibuni mkoani Mbeya na kuingizwa mtaani ili wanaMbeya waendelee kuamsha shangwe zao na Coca-Cola ya nguvu yenye muonekano mpya wa mkanda mwekundu kwenyechupa za Coca-Cola.
PICHA ZOTE NA FADHIRI ATICK MR.PENGO MBEYA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. duh mbona ni watatu tu wanaokunywa hiyo soda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...