Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya CocaCola Tanzania, Basil Gadzios akionja Msisimko na muonekano mpya wa Coca-Cola kwanza uliobatizwa jina la Amsha Shangwe na Coca-Cola uliozinduliwa leo katika kiwanda cha Coca-Cola kwanza kilichopo Iyunga Jirani na Tazara mkoani Mbeya, timu nzima ya Coca-Cola kuzama Mtaani na kutambulisha muonekano Mpya wa Coca-Cola Amsha shangwe kwa wanambeya wote.
Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya CocaCola Tanzania, Basil Gadzios akizungumza jambo wakati akiwapongeza wafanyakazi wa Coca-Cola kwanza kwa kufanya vizuri Katika mauzo na kuwataka wafanyankazi kuongeza bidii kwa kufanya kazi yakinifu katika masoko ili kuleta tija katika kampuni hiyo.
Meneja wa Coca-Cola Tanzania, Sia-Louise Shayo akizungumza jambo mbele ya wafanyakazi na wadau wa Coca-Cola kwanza (hawapo pichani) Katika hafra fupi ya kuzinduwa kampeni ya muonekano mpya wa Coca -Cola Mkoani Mbeya uendao kwa jina la Amsha Shangwe na Coca-Cola kwa wakazi wa Mkoa wa Mbeya.
Meneja Masoko wa Coca-Cola Tanzania, Peter Mpara Nae alipata Fursa ya kuelezea muonekano huo wa Amsha Shangwe na Coca-Cola kwa wakazi wa Mkoa wa Mbeya Katika hafra fupi ya kuzinduwa kampeni ya muonekano mpya wa Coca -Cola Mkoani Mbeya uendao kwa jina la Amsha Shangwe na Coca-Cola kwa wakazi wa Mkoa wa Mbeya..
Baadhi ya Wafanyakazi na wadau wa Coca-Cola kwanza wakipata burudani ya muziki sanjari na kupiga picha kwa pamoja kwa kuamsha shangwe na Coca-ColaKatika.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...