Mkuu
wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Christina Mdeme akizungumza na Kamati ndogo ya
Mkoa inayoratibu Ujenzi wa mradi wa Uwanja wa Michezo wa Kimataifa
utakojengwa katika kata ya Nala Mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Kamati ndogo ya Mkoa ya Uratibu Mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Michezo
wa Kimatafa Bw.Salum Mkuya akitoa mrejesho wa mambo yaliyofanywa na
Kamati yake kwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Christina Mdeme (Hayupo
Pichani) katika kuhakikisha Mradi huo unafanikiwa.
Mjumbe
wa hiyo ambaye ni Mwanasheria kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Bw. Evordy Kyando akifafanua jambo kwa Mkuu wa Wilaya ya
Dodoma Mhe. Christina Mdeme (Hayupo Pichani) wakati Kamati hiyo ilipokutana na Mkuu huyo wa Wilaya.
Mjumbe wa hiyo ambaye ni Afisa Tawala Wilaya ya Dodoma Bw. Hashimu Kitambuliyo akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Christina Mdeme (Hayupo Pichani) kuhusu mipango na mikakati iliyoweka na Kamati hiyo katika kufanikisha Mradi huo.Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...