Droo ya robo fainali ya kombe la Mabingwa Barani Ulaya imefanyika leo mchana kwa timu nane zilizoingia kwenye hatua hiyo kupangwa.

Mechi hizo zitaanza kupigwa April 11 na 12 na droo hiyo iliendeshwa na mshambuliaji  wa zamani wa timu Liverpol, Juventus na Wales Ian Rush (55).
Rush ameweka rekodi ya kufunga magoli 346 akiwa na timu ya Liverpool na magoli 28 kwenye michezo ya kimataifa 79 akiwa na timu yake ya taifa ya Wales.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...