Akiwa Matema Beach, Ziwa Nyasa, wakati wa mazoezi yake ya kila siku asubuhi Waziri Mstaafu Profesa Mark Mwandosya amekutana na wana-kwaya kutoka Boda (mpakani), Kasumulu, Kyela, mkoani Mbeya wakifanya mazoezi ya kurekodi video ya nyimbo zao. Wana-kwaya hao walipomuona walifurahi sana na wakamualika aungane nao katika mazoezi hayo. Profesa Mwandosya hakusita. Akakubali kwa furaha. Na haya ndiyo matokeo yake...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...