Leo tarehe 15 Machi 2017 umetimiza miaka 17 tangu utwaliwe kutoka ulimwengu huu wa nyama.
Bado tunakukumbuka na pengo lako tunaliona wakati mwingine.
Tunamshukuru Mungu kwa yote kwani tumeendelea kusimama imara iltusimkufuru Mungu.
Unakumbukwa na baba yako, dada zako, kaka mdogo mke wake na mtoto wao Lydia mdogo, Pia wajomba wengine akina Lisa, Linda na Lydia mkubwa. Pia rafiki zako, majirani na wengine wengi tu.
Tunazidi kumwomba Mungu tukutane tena.
BWANA AMETOA NA BWANAAMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...