Kivuko cha MV KAZI kikishushwa kwa
mara ya kwanza tayari kwa kufanyiwa ukaguzi wa mwisho kabla ya kuanza kazi.
Kivuko hicho kitakua kikitoa huduma zake kati ya Magogoni na Kigamboni na
kitakua na uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 kwa wakati mmoja.
Muonekano wa kivuko kipya cha MV KAZI mara baada ya
kushushwa majini kwa mara ya kwanza tayari kwa kufanyiwa ukaguzi wa mwisho
kabla ya kuanza kazi, kivuko hicho kitatoa huduma zake kati ya Magogoni na
Kigamboni na kitakua na uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22.
Kivuko cha MV KAZI kikisubiri kushushwa kwa mara ya kwanza
majini kufanyiwa ukaguzi wa mwisho, kivuko hicho kitakua kikitoa huduma zake
kati ya Magogoni na Kigamboni na kitakua na uwezo wa kubeba abiria 800 na
magari 22.
Kivuko cha MV KAZI mara baada ya kushushwa majini kwa mara
ya kwanza tayari kwa kufanyiwa ukaguzi wa mwisho kabla ya kuanza kazi, kivuko
hicho kitatoa huduma zake kati ya Magogoni na Kigamboni na kitakua na uwezo wa
kubeba abiria 800 na magari 22.
Mkurugenzi wa kampuni ya MS Songoro Marine Boatyard ya jijini
Mwanza Major Songoro mwenye kofia akiwa kwenye kivuko cha MV KAZI mara baada ya
kukishusha majini kwa mara ya kwanza tayari kwa ukaguzi wa mwisho. Kivuko hicho
chenye uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 kitakua kikitoa huduma zake kati
ya Magogoni na Kigamboni.
PICHA ZOTE NA LAFRED MGWENO (TEMESA)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...