Taarifa iliyotufikia asubuhi hii katika chumba chetu cha habari, inaeleza kuwa Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Usafiri wa nchikavu na Majini (SUMATRA), David Mziray amefariki dunia alfajiri ya kuamkia leo, taratibu za mazishi zinafanywa nyumbani kwake Kimara-Temboni, Jijini Dar es salaam. tunaendelea kujuzana kadri taarifa zitakavyoendelea kutufikia.

Mungu aiweke Roho ya Marehemu David Mziray mahala pema Peponi.
Amin.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...