THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

WANANDOA KUACHANA KWA MKATABA MAALUM BILA KWENDA MAHAKAMANI.


Na  Bashir  Yakub
Zipo  namna  nyingi  za  kuachana  kisheria  kwa  wanandoa  ambao  wanadhani  sasa hawawezi  kuendelea. Wengi  wetu  tunajua  zile  za  kupitia mahakamani.  Zile  ni  sahihi  lakini  upo  uwezekano  pia wa  kuachana  kwa  mkataba  maalum  bila  kuhitaji  kwenda  mahakamani.

Aidha  yafaa  ifahamike  kuwa  Kuachana  katika  ndoa  na  kuamua  kuishi   nje  ya  ndoa  ni  jambo  la  kawaida.  Kisheria si  dhambi  mwanandoa  yeyote   kuona  kuwa  sasa  hawezi  kuendelea  kuwa  katika  ndoa.  

Ni  kwasababu  hii  hata  sheria  ikatambua   uwezekano  wa  watu  kuachana  na  halikadhalika  ikaweka  utaratibu  maalum  kwa  walio  tayari  kwa  hilo.

Tofauti  na kuachana  kwa  mkataba  namna  nyingine  ni  kwa  njia  ya  talaka  mahakamani  na  kwa  njia  ya  kutengana  mahakamani  ambazo  nazo tutaziona  hapa  chini kabla  ya  kutizama  ile  ya  mkataba.

Kusoma zaidi BOFYA HAPA