Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Paul Muhato akisafisha kioo kwenye moja ya magari ya wateja waliofika kuweka mafuta katika Kituo cha Engen Mbezi Beach jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni wiki ya huduma kwa wateja  ilioanza rasmi leo.

 Sehemu ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania wakionesha ishara ya kuwakaribisha wateja mbalimbali wa Mafuta walioenda kuweka mafuta kwenye Kituo chao kilichopo Mbezi Beach, Jijini Dar es salaam. Engen wanaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kuanzia leo.
 Mmoja wa Mafundi wa Magari wa Kampuni ya Engen Tanzania akiweka Oil katika moja ya gari baada ya kudundua kuwa imefungua.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...