Tunawakumbusha wateja wetu wote kua mizigo ya ndege na ya meli inaondoka ijumaa tarehe 07/04/2017 jioni. Wahi, Tuleteeni mizigo yenu ili uisafirishe Mizigo ya meli sasa ni wiki tano kamili na ni £1.60 kwa kilo all inclusive clearance. Mzigo wa ndege sasa ni siku tano na ni £3.50 inclusive clearance


KC GLOBAL LINKS LTD
SUITE 2 CLIPPER HOUSE
TILBURY PORT
RM18 7SG
KAZI NI KIPIMO CHA UTU...!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...