MBEYA MUBASHARA: Jengo refu zaidi kuliko majengo yote Jijini Mbeya ni jengo hili la Shirika la Umeme la Taifa (TANESCO) lenye ghorofa 11 ambalo lipo katika eneo la Uhindini mkabara na Stendi ya Zamani ya BP Barabara ya Soko Matola katika barabara ya  kwenda Uyole Jijini Mbeya.
Picha na Mr. Pengo wa Globu ya Jamii, Mbeya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mbona umefuta maoni yangu niliyotoa awali, kuhusu maelezo ya hili jengo? Hujanitendea haki, hujawatendea haki wanaokufuatilia pia. I was expecting utarekebisha baada ya kuona comment yangu, lakini wewe umefuta tu comment yangu na kuacha maelezo ya uwongo uliyoweka. Kuna ugumu gani kurekebisha? Makosa ni kawaida kutokea, ukirekebiswa basi kubali.

    ReplyDelete
  2. Narudia tena, hili jengo si la Tanesco, ni jengo la Mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF), jengo hili lipo karibu na ofisi ya Tanesco mkoa hivyo aliyekultea habari atakuwa amehisi ni jengo la Tanesco lakini si kweli. Na mahali lilipo si uhindini bali ni uzunguni. Kwa faida ya wasomaji,wana Mbeya na watanzania kwa ujumla tafadhali acha watu wapate taarifa sahihi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...