Dereva wa bodaboda akikatiza dimbwi la maji lililopo katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Morogoro jijini Dar es salaam
Basi la Mwendo kasi likiwa katika barabara ya Morogoro ambayo imejaa maji
Baiskeli za wauza lambalamba zikiwa zimepaki kutokana na kushindwa kutembea kutokana na mvua kubwa kunyesha
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...