Meneja wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz (kulia), akikabidhi mifuko 50 ya saruji kwa uongozi wa Kata ya Mtendeni wakiongozwa na Diwani wa Kata hiyo Mh. Yahaya Mhamali katika hafla iliyofanyika mkoani Tabaro.
Diwani wa Kata ya Mtendeni Mh. Yahya Mhamali akitoa neno la shukrani NSSF.
Mkazi wa Mtendeni Bw. Idd Mkwama, akitoa shukrani kwa msaada uliotolewa na NSSF na kutoa rai kwa taasisi zingine kuiga mfano wa NSSF katika kuboresha ustawi wa jamii.

Diwani wa Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora, Mh. Yahya Mhamali akimuonyesha Meneja wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz, akiangalia eneo litakalojengwa Zahanati hiyo.

Kukagua eneo la ujenzi wa Zahanati.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...