Bi. Grace Mgaza Sebo akiongoza mchezo wa bahati nasibu iliyofanyika leo Ijuamaa kwenye tamasha la Raha za Pwani iliyofanyika katika hoteli ya Hampton Inn College Park, Maryland  na kuhudhuriwa na wadau wa miziki hiyo wakiongozwa na Dj Moe. Picha na Vijimambo na Kwanza Production.
 Mtoto Aaliyah akichanganya tiketi za bahati nasibu kusudi ya kutangazwa mshindi.
 Mtoto Allan akijiandaa kumtangaza mshindi wa kwanza aliyeamka na bahati usiku huo wa Raha za Pwani.
 Rose Millinga (kushoto) akiibuka mshindi wa kwanza akikumbatiana na Bi. Grace Mgaza Sebo moja ya waandaji wa tamasha la Raha za Pwani iliyofanyika siku ya Ijumaa March 31, 2017 katika hotel ya Hampton Inn College Park, Maryland nchini Marekani.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...