THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. NATOWA SALAMU ZANGU ZA RAMBIRAMBI KWA JESHI LOTE KWA UJUMLA, KUNA KITU TUNAITAJI KUJUWA NA KUJIFUNZA, KWA NINI? WANATAKA NINI?, KWA NINI AWAONGOPI?, NA WAKO WAPI?, NA WALIINGILIA WAPI?,NINI MAWAZO YAO, NINI KIMETUMA MPAKA WAFANYE HAYA?, NANI ANAWAJUWA?, NANI YUKO NYUMA YAO, NI USAFIRI GANI WANAO TUMIA, WANAISHI WAPI?, CHAKULA WANACHO KULA KINATOKA WAPI?, MAITAJI YA MAJI,SIGARA,NGUO,VIATU,MAWASILIANO NANI ANAYE WAPA?,JE KUNA MWANANCHI YOYOTE ANAJUWA,HIZO SILAHA ZAO ZILIZO KAMATWA BASI SIJULIKANE RISASI HIZO ZIMETOKA WAPI?, NANI ALIYE ZIPAKIA KWENYE BUNDUKI,HIZO SILAHA ZIJULIKANE ZINATOKA NCHI GANI, NA KAMA HAPA KWETU, WAPI?,NK.
    MAJIBU YA HAYA YAKIPATIKANA BASI TUTAKUWA TUMEMALIZA MZIZI WA FITINA NA HILO KUNDI LOTE LITAKWISHA KABISA, NA KAMA KUNA KUNDI LINGINE BASI HIZI ZITAKUAWA NI SALAMU KWAO, KUWA TANZANIA SIO YA KUCHEZEA, KWA HAYO HAPO JUU NI UTAFITI WA KINA WA KUMALIZA HILO KUNDI NA MENGINE YOTE HAPA TANZANIA, POLENI SANA JAMANI

    DR, JAMESY

  2. JERRY GEORGE Anasema:

    Dr.James, nakuunga mkono kwa maelezo yako na huo ndio ukweli. lakini naachwa hoi pale makamanda wetu wanaposema kuwa sasa tunaanza operesheni ya kuwatafuta yaani inamaanisha unawaambia kwa taarifa nyingine wajifiche au wawe tayari hii si sawa.siafiki kabisa kabisa ndiyo maana interejensia yetu yaonekana haipo sawa.