Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, Wakionesha mabango kwa mashabiki wa soka yenye ujumbe wa kununua hisa za kampuni hiyo juzi wakati wa mechi ya Ligi kuu kati ya Yanga Vs Azam kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo yanga ilishinda kwa bao 1-0.Mtanzania yeyote Yule anaweza kununua hisa kwa kupiga *150*36#.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...