Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akikagua Mfumo maalumu wa kompyuta unaotumika kuangalia uzito wa Meli zinazoingia nchini wakati alipokagua huduma hizo katika Kituo cha Utafutaji na Uokoaji, kilichopo katika eneo la Magogoni Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akikagua takwimu mbalimbali za huduma zitolewazo na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) katika Kituo cha Utafutaji na Uokoaji kilichopo eneo la Magogoni Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Katikati) akikagua daftari linaloonyesha kumbukumbu za Meli zinazoingia nchini wakati alipokagua huduma hizo katika Kituo cha Utafutaji na Uokoaji kilichopo eneo la Magogoni Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Katikati) akikagua daftari linaloonyesha kumbukumbu za Meli zinazoingia nchini wakati alipokagua huduma hizo katika Kituo cha Utafutaji na Uokoaji kilichopo eneo la Magogoni Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia) akijaribu kutumia mfumo wa simu kuita Meli inayongia katika bandari ya Dar es Salaam, wakati alipokagua huduma zinazotolewa katika Kituo cha Utafutaji na Uokoaji kilichopo katika eneo la Magogoni Jijini Dar es salaam.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (aliyekaa) akitoa maelekezo kwa wafanyakazi wa Kituo cha Utafutaji na Uokoaji, alipokitembelea kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo hicho kiliopo eneo la Magogoni Jijini Dar es salaam. 

Picha na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano-UUM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...