Barabara ya Dunga iliyopo Kinondoni Biafra ikiwa imejaa  maji kutokana mvua  iliyonyesha wiki moja iliyopita,mafundi wakiendelea na utoaji maji  katika barabara hiyo jijini Dar es Saam. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
 Wananchi wakikwepa dimbwi la maji katika barabara iliyopo Konondoni Biafra jijini Dar es Salaam.
Gari ikipita katikati ya dimbwi la maji,barabara iliyopo Kinondoni Biafra jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...