Ni kwanini MSD inashindwa kuagiza dawa wakati imepewa pesa na serikali ? Hapa naibu waziri Selemani Jafo anatoa ufafanuzi; https://youtu.be/ca6-YGggOMg 
Swali la mbunge wa Bukombe Mhe. Biteko kuhusu ahadi ya Rais Magufuli ya ujenzi wa barabara za mji wa ushirombo kwa kiwango cha lami; https://youtu.be/l18Khg4bH4o 
Je, ni lini wananchi watapewa fidia kupisha ujenzi wa barabara ya Mgakorongo? haya hapa majibu kutoka kwa naibu waziri. https://youtu.be/E_Bsq-bC9_4 
Ufafanuzi wa serikali kuhusu fedha zilitokana na kukamatwa kwa meli iliyokua ikiendesha shughuli za uvuvi  mwaka 2009 katika bahari ya Hindi bila ruhusa; https://youtu.be/w0jVMwSHPwc 
Ni lini serikali itakamilisha ujenzi wa mradi wa maji kwa wananchi wa Kibaha? hapa naibu waziri wizara ya maji anatoa ufafanuzi; https://youtu.be/NDMw8lakbaQ 
Tazama alichokisema  naibu waziri Mhe. Kigwangalla kuhusu suala la upungufu wa vifaa tiba, madawa katika hospitali za umma. https://youtu.be/cpPdGHMi9fs 
Swali la mbunge Mhe. Halima Bulembo akimuuliza naibu waziri Kigwangalla kuhusu huduma mbovu za afya kwa kina mama na watoto; https://youtu.be/st0KtE5Ijwc

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...