THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

HABA NA HABA DANCE FESTIVAL ILIVYOBAMBA KATIKA UKUMBI WA NAFASI ARTS SPACE, DAR ES SALAAM

 Wasanii wa mchezo wa jukwaani kutoka kundi la Haba na haba wakitumbuiza mchezo uliokwenda kwa jina la There is no Future Word for Future  in Swahili?
 Wasanii wa mchezo wa jukwaani kutoka kundi la Haba na haba wakitumbuiza mchezo uliokwenda kwa jina la There is no Future Word for Future in Swahili?
 Wasanii wa kundi la Nantea Dance Company  Tanzania wakionyesha mchezo wao jukwaani
 Wasanii wa kundi la Haba na haba wakionyesha mchezo wa WD Forest Tanzania katika Tamasha la Haba na Haba
watu mbalimbali wakijumuika katika kucheza ngoma za asili katika Tamasha la Haba na haba. Picha zote na Humphrey Shayo