Tarehe 02/05/2002 Mama, Bibi Agnes Nyamwiza Ruhuza ulitutoka na kupata mapumziko ya milele.
Leo ni miaka 15, lakini ni kama jana tu!
Bado tunaishi nawe moyoni na mawazoni. Malezi, Upendo uliotupatia, hakika ulikuwa Mama bora na daima tutakuwa nawe.
Kwa maisha uliyoyaishi Duniani, tuna imani kubwa upo pahala pema peponi na watakatifu wote.

Unakumbukwa na wote.
Uendelee kupumzika kwa Amani.

2 Timotheo ( Timothy) 4:7-8

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nitakukumbuka Bibi yangu mpendwa Agnes,sina mengi ya kusema ila kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuilaza roho yako mahala pema peponi.Amen

    ReplyDelete
  2. It's been 15 years since you left us, but the love you provided us will always be with us. You were a beautiful mother and an inspiring Grandmother. We live in your memory and you will always be here with us. Continue to rest my angel Bibi, we love you. Vicky

    ReplyDelete
  3. Bado tunakumbuka upendo na kipawa Mwenyezi Mungu alichokujalia kutuunganisha ndugu..Sikh zote nyumba yako ilijaa wageni na hukuchoka kisaidia wasiojiweza..Mungu azidi kukupa pumziko jema

    ReplyDelete
  4. I miss you Bibi, i still have your smile in my memory and it will forever stay in my heart. Mungu akupumzishe kwa amani Bibi ❤❤❤

    ReplyDelete
  5. Uzuri wako ni kuanzia muonekano hadi moyoni. Tunakumis sana hasa upendo wako uliotuachia na kusisitiza sana 'tupendane'.
    Tunaishi nawe wakati wote.
    Endelea kupumzika kwa amani. Amen.

    ReplyDelete
  6. Brother Issa Michuzi shukrani sana kwa kumkumbuka Mama, ni upendo wako mkubwa. Ubarikiwe sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...