Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza hilo katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam Jumamosi  Mei 6, 2017. Wengine waliokaa ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto), Waziri Katika Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (wa pili kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Dkt. Reginald Mengi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Sekretarieti ya Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF)   katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam Jumamosi  Mei 6, 2017. Wengine waliokaa ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto), Waziri Katika Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (wa pili kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Dkt. Reginald Mengi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam Jumamosi  Mei 6, 2017. Wengine ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto), Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Dkt. Reginald Mengi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. 
Baadhi ya Mawaziri, pamoja na Wajumbe, wakimsikililiza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiongea katika Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. 
KWA PICHA ZAIDI NA IKULU BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...