Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akipunga mkono wakati akiwasili Ikulu akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Alhamisi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo na mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma kabla ya kuanza kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akisoma hotuba yake wakati akizungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma mara baada ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akipiga ngoma wakati alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akizungumza jambo na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. KUNA VITU AMBAVYO NATAKA KUTOWA MAWAZO TU, SIO LAZIMA YAWE SAWA, UKITAZAMA WAKATI VIONGOZI WAWILI HAO, WAKATI WANATOWA MAELEZO YAO KATIKA IKULU YA JIJINI DAR ES SALAAM, UTAGUNDUWA KITU KIMOJA KIKUBWA SANA NINI MAANA YA KUWA MAKINI, RAISI DKT MAGUFULI WAKATI ANASUNGUMZA ALIKUWA AMESHIKA VIPANDE VIDONGO NYA MAKARATASI, LAKINI RAISI ZUMA ALIKUWA NA KITABU MAARUMU CHA MIENDENO YA MAZUNGUMZO YAKE KILA ANAPO KWENDA, KWANI HICHO KITABU NI VINGUMU SANA KUPOTE AU KUFICHWA MFUKONI KWANI NI KIKUBWA SANA, LAKINI YALE MAKARATASI YA MKUU WA NCHI YETU UNAWEZA KUYAWEKA MFUKONI NA KUONDOKA NAYO AU KUPOTEA KIRAISI SANA.
    TAZAMENI VIONGOZI WAKUBWA DUNIANI HUTUMIA SANA VITABU VIKUBWA NA SIO MAKARATASI UNAYO WEZA KUWEKA MFUKONI,
    NAOMBA WANAO WANAO FANYA MAANDIKO YA RAISI WAJARIBU SANA KUWEKA KATIKA KITABU KIZURI ILI TUONEKANE TUKO MAKINI SANA,
    DR, JAMESSY

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...