Meneja Mkuu taasisi ya Karimjee Jivanje, Bi. Devotha Rubama akiwasilisha kitabu cha Historia cha Taasisi ya Karimjee Jivanje kwa Mhe. Jaji Mkuu na Rais wa Mahakama kuu ya Kenya, Mhe. David Maraga EGH katika Taasisi ya Asia na Maonyesho ya Stawisha Maisha mjini Nairobi Mei 12-14. Nyuma ni Mwenyekiti wa Chandaria Foundation na mmiliki wa Aluminium Africa, Bw. Manu Chandaria.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...