Usikose kutazama matangazo ya moja kwa moja ya kuapishwa kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam. Matangazo haya yatarushwa hewani kuanzia saa 3:30 asubuhu hii kupitia TBC, AZAM TV na ITV. Pia yatapatikana kupitia tovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz (tembelea tovuti hiyo kupitia simu ya mkononi, computer, tablet ama kifaa chochote cha mtandao)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...