Mhusika mkuu katika Mchezo wa Jukwaani wa 'UNTOLD STORY ' Amani Kipimo akiwa jukwaani katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini dar es Salaam.
 Sehemu ya Waigizaji  wa mchezo wa kuigiza wa Untold Story wakiwa jukwaani  wakati wa utambulishwaji wa mchezo huo
 Msanii mkongwe wa Luninga na Jukwaani Susan Lewis akiwa na Mhusika mkuu wa mchezo wa Untold Story Amani Kipimo 'Ngasu'
 sehemu ya watu waliofika kushuhudia mchezo huo wa Untold Story ambao ulibua hisia na kuwa gumzo kwa watu wengi sana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...