Mkuu wa Kitengo cha
Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jaquiline Materu akizungumza
na wanafunzi wa chuo kikuu cha Mkwawa katika semina elekezi ya umuhimu wa
uwekezaji na ununuzi wa hisa za Vodacom Tanzania PLC wakiwa bado
wanafunzi,Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki chuoni hapo.
Baadhi ya wanachuo wa chuo
kikuu kishiriki cha Mkwawa wakisoma vipeperushi vinavuhusu uwekezaji na ununuzi
wa hisa za Vodacom Tanzania PLC katika mafunzo yaliyofanyika chuoni hapo
mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa Masuala
ya Fedha kutoka kampuni ya Orbit Securities Limited,Godfrey Gabriel,
akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Mkwawa juu ya umuhimu wa kuwekeza na
ununuzi wa hisa za Vodacom Tanzania katika mafunzo yaliyofanyika chuoni hapo
juzi.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja
Wakubwa Masuala ya Fedha wa Orbit Securities Limited,Godfrey Gabriel,
akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Mkwawa juu ya umuhimu wa kuwekeza na
kununua hisa za Vodacom Tanzania PLC katika mafunzo yaliyofanyika chuoni hapo juzi
mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Kitengo cha
Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jaquiline Materu akizungumza
na wanafunzi wa chuo kikuu cha Mkwawa katika semina elekezi ya umuhimu wa
uwekezaji na ununuzi wa hisa za Vodacom Tanzania PLC wakiwa bado
wanafunzi,Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki chuoni hapo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...