Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa ufunguzi wa  Tamasha la Ngoma za asili  za Jamhuri ya Korea   jana Jijini Dar es Salaam.

Balozi wa  Jamhuri  ya  Korea  hapa nchini Mhe. Song,Geum-young  akizungumza  na washiriki  wa Tamasha la Ngoma za asili  za nchi hiyo   (hawapo pichani)    jana Jijini Dar es Salaam.
 Wasanii  kutoka  Jamhuri ya  Korea wakionesha  moja ya ngoma za aslili za nchi hiyo wakati wa Tamasha la Ngoma za asili  za Jamhuri ya Korea  jana Jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya watazamaji kutoka Jamhuri  ya  Korea  na Tanzania wakifuatilia ngoma mbalimbali zilizokuwa zikioneshwa katika  Tamasha la Ngoma za asili  za Jamhuri ya Korea   jana Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa nne kulia waliosimama) akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa ngoma za asili kutoka Jamhuri ya Korea  wakati wa ufunguzi wa  Tamasha la Ngoma za asili  za Jamhuri ya Korea   jana Jijini Dar es Salaam.
Picha na: Genofeva Matemu - WHUSM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...