Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akipandisha bendera, kuzindua Shina namba sita la CCM la Kiyobela, Katika Kijiji cha Kabiko wilayani Kakonko mkoani Kigoma, leo.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimwambia jambo Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala, baada ya kuzindua Shina namba Sita la CCM la Kiyobela, Katika Kijiji cha Kabiko wilayani Kakonko mkoani Kigoma, leo. Kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma Naomi Kapambala
 Mjube wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya viongozi, alipokagua ujenzi wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, leo
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akimsalimia Mwenyekiti wa Sina la CCM Namba Sita, Tawi la Kakonko Msufini, Wilayani Kakonko mkoani Kigoma, Ramadhan Adam mwenye ulemavu wa miguu, baada ya kuzindua shina hilo.
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kakonko, Mabalozi, Viongozi na watendaji wa CCM, Watendaji wa Serikali na Viongozi mbalimbali wa CCM na Jumuia zake. Walisimama kwa nderemo na vifijo Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo alipokuwa akiingia ukumbini kuzungumza nao katika kikao cha ndani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...