Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka
wilaya za Uvinza, Kigoma Vijijini na Kigoma Mjini, Mabalozi, Watendaji
wa Chama na wa Serkali, mjini Kigoma, leo
Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya za Uvinza, Kigoma Vijijini na
Kigoma Mjini, Mabalozi, Watendaji wa Chama na wa Serkali, mjini Kigoma,
wakishangilia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya
WazaziTanzania, Alhaj Abdallah Bulembo alipokuwaakizungmza nao katika
kikao kilichofanyika Kigoma mjini, leo.
Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho.
Wajumbe kutoka Uvinza wakishangilia walipotambulishwa
Afisa
Afya wa mkoa wa Kigoma, Ambakisye Mhune akitoa darasa kwa wajumbe wa
kikao hicho namna ya kujihami na ugonjwa wa Ebola, ambao alisema, hivi
sasa umelipika ena katika nchi jirani ya Congo DRC.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo, akizungumza na wajumbe kutoka ufafanuzi wa maswala
mbalimbali ikiwemo uhaguzi ndani ya Chama, Ndugu Bulembo kabla ya
kuzungumza na wajube hao alitawazwa kufalishwavazi la heshima la Waha
laaina ya Mpuzu, ambalo ni ishara ya kiongozi makini na mwenye
kuheshimika
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo, akikabidhi fedha kwa uongozi wa shina hilo, fedha hizo
alichangisha kwa wadau waliokuwemo kisha akajazia mwenyewe. PICHA:
BASHIR NKOROMO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...