Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiwa na Katibu wake , Celestine Mwesigwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walisomewa mashtaka yao kadhaa ya matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kugushi nyaraka za shirikisho hilo pamoja na kutakatisha fedha zaidi ya dola laki tatu za Kimarekani.
  Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiwa na Katibu wake , Celestine Mwesigwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walisomewa mashtaka ya kadhaa ya matumizi mabaya ya ofisi ikiwa nipamoja na kutakatisha pesa zaidi ya laki tatu za kimarekani. washtakiwa hao wamepelekwa mahabusu Keko kutokana na kesi hiyo kutokuwa na dhamana hivyo wataletwa tena mahakamani  mpaka julai 3.
 Rais wa Simba Evance Aveva (kulia) na Makamu  wake Godfrey Nyange "Kaburu"  wakiongea na aliyekuwa katibu wa Simba Evodius Mutawala katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walipandishwa kwa mashtaka tofauti ikiwemo la matumizi mabaya ya ofisi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...