THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

MDAU EMMANUELA KAGANDA ALA NONDOZZZZ YA MASTERS YA AFYA YA UMMA. A.K.A PUBLIC HEALTH)


Mdau Emmanuela Mtatifikolo Kaganda akifurahia baada ya kulamba nondozzz ya Afya ya Umma (Masters of Public Health)  toka  City University of New York - Graduate school of Public Health kwenye sherehe zilizofanyika katika ukumbi maarufu duniani wa  Apollo  Theater kitongoji cha  Harlem 125th West, jijini New York mapema mwezi huu.

Mdau Emmanuela  Kaganda akifurahia  pamoja na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Mhe. Balozi Modest J. Mero  na mkewe 
Emmanuela Kaganda akiwa na marafiki zake kwenye sherehe hiyo.
Tabasamu mubashara la ushindi baada ya kula nondozzzzz    kwa taswira zaidi jitiririshe hapa chini kiroho saf
Emmanuela Kaganda akiwa kwenye viti vyekundu ndani ya ukumbi maarufu sana New York City na Marekani Apollo Theater, hapa ndipo sherehe zilifanyika. 

Emmanuela Kaganda akiwa  kwenye kisiki cha 'Ngekewa'  ndani ya ukumbi wa Apollo.  Kisiki hiki kina sifa ya kukupatia bahati kwenye maisha yako pale unapokigusa ukiwa na maombi ya kutaka kufanikiwa kwa imani ya unachokifanya au kukitarajia katika ndoto zako.